Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa tumbo lisiloshiba: Shibe inatumaliza (Salma Omar Hamad)

Wahusika na sifa zao katika hadithi Shibe Inatumaliza

 (4m 6s)
5209 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Wahusika na sifa zao katika hadithi “Shibe Inatumaliza”
Mzee Mambo
-Ni waziri kivuli wa wizara zote. Aidha ni mkuu asiye na kazi maalum. Hivyo vyeo vyake viwili humtatiza yeye mwenyewe kwa kuwa hajui kazi yake hasa nini.
-Licha ya kutokuwa na majukumu yoyote, Mzee Mambo anapata mshahara mkubwa sana wa bure
(hakuufanyia kazi)Hufurahia hali yake hiyo ya kupiga ubwete.
Sifa za mzee Mambo
-Ni mbinafsi: hutumia vyombo vya umma kwa matumizi ya kibinafsi.
-Ni mbadhirifu: tukio dogo la kifungua mimba kuanza 'nasari skuli' linamfanya aandae sherehe kubwa mno.


|