Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa tumbo lisiloshiba: Shibe inatumaliza (Salma Omar Hamad)

Ufaafu wa anwani Shibe Inatumaliza

 (3m 27s)
5012 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Ufaafu wa anwani “Shibe Inatumaliza”
-Anwani ya hadithi hii ni "Shibe Inatumaliza".
-Anwani hii imebeba maudhui yaliyomo barabara.
-Dhuluma, ufujaji wa mali za umma na ukandamizaji wa wanyonge ni matokeo ya shibe waliyonayo viongozi walioko madarakani.
- Mapuuza yote ya shida za wanyonge ni matokeo ya shibe ya watawala.
-Mambo analipwa licha ya kwamba kazi yake haidhihiriki.
-Sasa na Mbura wanalala baada ya kushiba shereheni.


|