Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa tumbo lisiloshiba: Shibe inatumaliza (Salma Omar Hamad)

Umuhimu wa mzee Mambo katika hadithi Shibe Inatumaliza

 (3m 15s)
1544 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Umuhimu wa mzee Mambo katika hadithi “Shibe Inatumaliza”
-Mzee Mambo ni kielelezo Cha watu wanaopiga ubwete na kufuja mali ya umma kwa kulipwa mishahara bila kazi.
-Anatumika kuisuta serikali dhalimu isiyojali haki za wananchi wake.
-Ni kielelezo cha watu wa tabaka la juu ambao hawana uzalendo hata kidogo kuifilisi serikali na hawajali.
-Ni kielelezo cha viongozi wanaofuja mali ya vizazi vijavyo na kuwaacha bila chochote.


|