Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa Tumbo Lisiloshiba: Mapenzi Ya Kifaurongo (Kenna Wasike)

Umuhimu wa Shakila katika hadithi Mapenzi ya Kifaurongo

 (2m 47s)
1268 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Umuhimu wa Shakila katika hadithi “Mapenzi ya Kifaurongo”
-Kudhihirisha matabaka yaliyo katika jamii.
-Anatumiwa kukashifu uozo wa ufisadi katika kuomba kazi.
-Anaonyesha umuhimu wa kuwa na mlahaka mwema licha ya matabaka mawili tofauti.


|