Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa Tumbo Lisiloshiba: Mapenzi Ya Kifaurongo (Kenna Wasike)

Mhusika Shakila na sifa zake katika hadithi Mapenzi ya Kifaurongo

 (5m 2s)
2260 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Mhusika Shakila katika hadithi “Mapenzi ya Kifaurongo”
-Ni mwana chuo wa chuo kikuu cha Kivukoni.
-Msichana ambaye hakupata shida za kutafuta kazi.
Sifa za Shakila
-Ana mlahaka mwema: anamkumbuka na kumsalimia vizuri Dennis wakati Dennis ameenda kuomba kazi.
-Ni mchangamfu-anapoingia afisini pale akiomba kazi kicheko kinasikika kutoka ndani.
-Ni mwenye majivuno: alijigamba chuoni kwamba yake ni mkurugenzi wa shirika moja la kuchapisha
-Ni mfariji: anampa moyo Dennis kwamba Mungu apate kazi ile.


|