Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa Tumbo Lisiloshiba: Shogake dada ana ndevu (Alifa Chokocho)

Mbinu katika hadithi fupi ya Shogake Dada ana Ndevu-Alifa Chokocho.

 (6m 20s)
5102 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Mbinu katika hadithi fupi ya “Shogake Dada ana Ndevu”-Alifa Chokocho.
(i) Methali
-Kuzaa mwana si pato, pato ni kumvyeleza
-Lisemwapo lipo, kama halipo linakuja
-Siri ya kata iulize mtungi
(ii) Tashbihi
…bintiye aliye safi kama umande….shikamoo inayotoka nyuma ya buibui kama kata ya maji mtungini.
(iii) Mdokezo-mbinu ya kudokeza shughuli iliyopita.
Kidugu kidogo cha Safia kilisimulia kisa shogaye kuwa na ndevu kwa kudokeza kidogo kidogo. Juzi... Juzi... Ivyo
(iv) Taharuki-mbinu ya kuwaachia wasomaji maswali akilini
Baba Safia anapoelezwa juu ya kifo cha mwanae alishikwa na mshangao mkubwa. Hatujui vile alivyoathirika. Aidha hatujui vile mama yake Safia alivyochukulia jambo hilo.


|