Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa Tumbo Lisiloshiba: Shogake dada ana ndevu (Alifa Chokocho)

Dhamira ya mwandishi katika hadithi fupi Shogake Dada ana Ndevu

 (4m 18s)
2990 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Dhamira ya mwandishi katika hadithi fupi “Shogake Dada ana Ndevu”-Alifa Chokocho
-Mwandishi amedhamiria kuwakumbusha wazazi kuongeza umakini katika malezi ya watoto.
-Wasiwaamini watoto wao asilimia mia moja. Pia, anawasuta watoto wanafiki kwa kutumia Safia.
-Inawakanya wanajamii dhidi ya kuua.
-Anakejeli wana wa wenzao badala ya kuwasaidia.
-Inadhamiria kuwapa wazazi ushauri kushirikiana katika malezi.


|