Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa Tumbo Lisiloshiba: Tumbo Lisiloshiba (Said A. Mohammed)

Dhamira ya mwandishi katika Tumbo Lisiloshiba

 (3m 51s)
4940 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Dhamira ya mwandishi katika “Tumbo Lisiloshiba”
-Mwandishi amedhamiria kuonyesha namna tabaka la juu linavyokandamiza haki za wanyonge. Tabaka hili linajilimbikizia mali na kutwaa rasilimali za wanyonge bila kushiba.
-Hata hivyo S.A Mohamed anachora uwezekano wa kuwepo kwa matumaini kwa wanyonge licha ya kwamba uongozi wa taifa unazidi kuwakandamiza.
-Hadithi hii ni njia ya kuionelea kucha jamii hasa kuliko na uongozi dhalimu.


|