Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.

Kiswahili Form 2 Opener Term 3 Examination 2019

Class: Form 2

Subject: Kiswahili

Level: High School

Exam Category: Form 2 Opener Exams

Document Type: Pdf

    

Views: 1480     Downloads: 44

Exam Summary


Kiswahili Form 2 Opener Term 3 Examination 2019
This file contains questions and the Marking scheme in it. Below is a preview of the questions


SEHEMU YA A: INSHA (ALAMA 20)

Ndugu yako ameamua kuasi ukapera. Andika ratiba itakayotumiwa siku ya arusi yake.SEHEMU YA B: SARUFI NA MATUMIZI YA LUGHA (ALAMA 40)
A. Taja sauti nne ambazo ni nazali. (al.2)

B. Eleza tofauti kati ya sauti /dh/ na /th/. (al 2)

C. Ainisha viambishi katika kitenzi (al. 2)
Wameridhiana

D. Eleza maana mbili za sentensi ifuatayo: (al. 2)
Alimpigia mpira

 

More Examination Papers