Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.

Form 3 Paper 1 Kiswahili End of Term 2 Exams 2021

Class: Form 3

Subject: Kiswahili

Level: High School

Exam Category: Grade 3 End Term 2 Exams

Document Type: Pdf

    

Views: 706     Downloads: 4

Exam Summary


MITIHANI WA MWISHO WA MUHULA WA PILI,2021
KIDATO CHA TATU

KISWAHILI
KARATASI YA 1 (102/1)
INSHA

Jina………………………………………Nambari ya usajili……………….…Darasa………..
Sahihi ya Mtahiniwa……………………………Tarehe……………………………………….
MUDA: SAA 1¾
MAAGIZO:
a) Andika insha mbili.
b) Insha ya kwanza ni lazima.
c) Chagua insha nyingine moja kutoka kwa tatu zilizobaki.
d) Kila insha isipungue maneno 400.
e) Kila insha ina alama 20.
1.PNG

Karatasi hii inakurasa 2 zilizochapishwa. Wagombea wanapaswa kuangalia ili kuhakikisha kuwa kurasa zote zimechapishwa kama ilivyoonyeshwa na kwamba hakuna maswali yanayokosekana

MASWALI
1. Umepata habari kwamba binamu wako anayeishi Ujerumani ameanza kutumia mihadarati. Mwandikie barua ukimweleza kuhusu athari hasi za tabia hiyo.
2. Ufisadi umekuwa tatizo sugu nchini. Jadili vyanzo vyake na upendekeze suluhu kwa uovu huo.
3. Pang’okapo jino pana pengo.
4. Tunga kisa kitakacho anza kwa maneno yafuatayo; Buum! Mlipuko huo ulitapakaza vifuzi kote.Wingu jeusi la moshi lilitanda..............HUU NDIO UKURASA WA MWISHO WA KUCHAPISHWA

 

More Examination Papers