Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.

Kiswahili Paper 2 Form 3 End of Term 1 Examination 2020

Class: Form 3

Subject: Kiswahili

Level: High School

Exam Category: Form 3 End Term 1 Exams

Document Type: Pdf

    

Views: 953     Downloads: 46

Exam Summary


Kiswahili Paper 2 Form 3 End of Term 1 Examination 2020
This file contains questions and the Marking scheme in it. Below is a preview of the questions


1. Ufahamu (ala 15).
Soma taarifa ifuatayo kisha ujibu maswali yanayofuata.

Kwa kipindi cha miezi kadha iliyopita tumeshuhudia vyombo vya dola vikitia makali yake kwenye upekuzi na hata kupiga doria usiku na mchana katika jitihada za kulinda nchi.
Mpango huu ni kweli umeonekana kufanya kazi hivi kwamba hata magaidi wenyewe wameshidwa kupenya katika miji na sasa hiari kijinga kushambulia magari ya abiria, kitendo ambacho ni cha kuonyesha uwoga. Kwa hatua hito, navipa vyombo vya dola kongele. Jamabo ambalo lafaa kujulikana ni mwamba mikakati ya kulinda nchi haifai kuwa ni ya wakati mmoja tu, mbali inafaa kuwa ni zoezi la kila siku.
Magaidi nao huwa macho huku yakijua bayana kwamba wakati wa kulala kwa walinzi unapokuwepo, basi wanapata nafasi ya kututupia ‘viazi’ ukipenda grunedi.

Kama ilivyo kawaida katika mataifa mengi barani Afrika, ni bayana kwamba bado kungali na mianya mingi ambayo magaidi wa kimataifa huendelea kutumia. Dosari bado zipo. Kwa mfano, mipaka mingi ya nchi hizi huwa kama lango kuu la ugaidi wa kimataifa, kwani kuenea kwa saratani ya ufisadi halimo tu maofisini mbali pia kwenye mipaka yetu.

Kama kupata kitambulisho, pasipoti na stakabadhi zingine za kusafiri nchini bila usumbufu wowote ule bora tu anayehitaji ana hela mkononi? Kwa kuikubali hongo kuwa ufunguo wa kila kitu, Wakenya wenzangu hapo naona ni kama tumejiweka kwenye kikaango kilicho juu ya moto mkali. Hapa hakuna aliye na bahati, tajiri kwa masikini wamo kwenye mtego huu hatari.
Kwa mtindo ambao tunafuata wa kuttoa ajiraa katika idara mbalimbali za ulinzi, inabidi serikali iwe na uangalifu sana hasa kwenye suala nzima la kuhakikisha stakabadhi wanazohitaji si ghushi.

 

More Examination Papers