Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.

Kiswahili Form 2 End of Term 2 Examination 2019

Class: Form 2

Subject: Kiswahili

Level: High School

Exam Category: Form 2 End Term 2 Exams

Document Type: Pdf

    

Views: 1172     Downloads: 35

Exam Summary


Kiswahili Form 2 End of Term 2 Examination 2019
This file contains questions and the Marking scheme in it. Below is a preview of the questions


A.UFAHAMU (ALAMA 20)
SOMA SHAIRI LIFUATALO KISHA UJIBU MASWALI.
Malezi mema
Malezi bora si yale, mtoto kumdekeza
Atafikia kilele, mzazi atampuza
Utapiga makelele, wala hatasikiza.

Daima usikubali, kuridhi kumpendeza
Lazima uwe mkali, mengine kumkataza
Na wala usikubali, maneno kuyaigiza.

Mtoto ukimuita, hana budi kuginiza
Sio mdomo kufyata, mamboye kuendeleza
Ama dakika zapita,aje ikimpendeza.

Mzazi usithubutu,mwanao kumteteza
Uambiwapo na watu, mwanao alifanyiza
Kuwa na hali ya utu, Kadhia kuchunguza.

Iwapo amekusudi, makossa kuyatimiza
Kumrudi huna budi,jukumu kutekekeza
Lau usipomrudi, kosa taliendeleza.

Maswali
a) Eleza malezi mema jinsi yanavyosimuliwa na mshairi. (alama 2)

b) Taja mambo matano wanayoshauriwa wazazi kutoyatenda (alama 5)

c) Je, mzazi asipochukua jukumu lake, kuna athari gani kwa mtoto (alama 2)

d) Toa methali moja inayoambatana na ujumbe wa Shairi hili (alama 2)

e) Shairi hili lina mishororo ngapi (alama 1)

 

More Examination Papers