Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.

Kiswahili Paper 1 Form 3 End of Term 2 Examination 2019

Class: Form 3

Subject: Kiswahili

Level: High School

Exam Category: Form 3 End Term 2 Exams

Document Type: Pdf

    

Views: 1038     Downloads: 11

Exam Summary


Kiswahili Paper 1 Form 3 End of Term 2 Examination 2019
This file contains questions and the Marking scheme in it. Below is a preview of the questions


MASWALI
1. Wewe ni chifu wa eneo lako. Umemwita kiongozi wa kamati ya vijana. Andika mazungumzo kati yenu kuhusu kinachosababisha ongezeko la unywaji wa pombe haramu katika eneo lako.
2. Eleza hatua ambazo serikali imechukua katika kuimarisha afya ya umma.
3. Andika insha itakayoafikiana na methali,”uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti”
4. Tunga kisa kitakachomalizikia kwa maneno haya ...ama kwa hakika siku hiyo niligundua kuwa watoto wana haki zao.

 

More Examination Papers