MENU
    • Form 1 Videos
    • Form 2 Videos
    • Form 3 Videos
    • Form 4 Videos
    • Class 5 Videos
    • Class 7 Videos
    • Class 8 Videos
    • Form 1 Exams
    • Form 2 Exams
    • Form 3 Exams
    • Form 4 Exams
    • KCSE Videos
    • Class 8 Exams
    • Class 7 Exams
    • Class 6 Exams
    • Class 5 Exams
    • Grade 4 Exams
    • Grade 3 Exams
    • Grade 2 Exams
    • Grade 1 Exams
    • Online Tests
Tutorke
  • Sign In
  • Join
  OR
Processing. Please wait.

Maswali na Majibu Katika Riwaya ya Chozi La Heri

Maswali na Majibu Katika Riwaya ya Chozi La Heri

Lessons (8)     SHARE

  • 1.    “Lakini itakuwaje historical injustice, nawe Ridhaa, hapo ulipo sicho kitovu chako?" (a) Eleza muktadha wa dondoo. (b) Eleza tamathali mbili za lugha zilizotumika kwenye dondoo hili (alama 4). (c) Fafanua umuhimu wa msemaji wa maneno haya (alama 6) (d) Ni mambo gani yaliyowakumba wale ambao kitovu chao sicho ( Alama 6)
    7m 0s

  • 2.    Maovu yametamalaki katika jamii ya Riwaya ya Chozi la Heri. Tetea kauli hii kwa kutumia hoja kumi zisizopingka (alama 20).
    6m 24s

  • 3.    Fafanua namna mwandishi alivyotumia mbinu ya kisengere nyuma katika riwaya (alama 20)
    7m 40s

  • 4.    Ukabila ni tatizo sugu katika nchi nyingi za kiafrika.Tetea kauli hii ukirejelea chozi la heri (alama 20).
    6m 38s

  • 5.    Fafanua namna mbinu ya sadfa ilivyotumiwa katika Riwaya (alama 20).
    5m 6s

  • 6.    Jadili maudhui ya 'asasi ya ndoa' kama yalivyoangaziwa riwayani (alamo 20).
    7m 8s

  • 7.    Jadili maudhui ya nafasi ya mwanamke katika jamii (alama 20).
    7m 34s

  • 8.    Fafanua maudhui ya nafasi ya vijana katika jamii (alama 20).
    4m 20s

Share Content Via:

 Facebook
 Twitter
 WhatsApp
Tutorke
  • Tutorke.com
  • Mobile App
  • Download app on playstore
  • About Us
  • Contact Us
  • Terms of Use
  • Privacy Policy

Follow Us:

© 2021 Tutorke Limited. All rights reserved.