Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa tumbo lisiloshiba: Mame Bakari (Mohammed Khelef Ghassany)

Umuhimu wa janadume bakaji katika hadithi fupi Mame Bakari

 (3m 20s)
2012 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Umuhimu wa janadume bakaji katika hadithi fupi “Mame Bakari”
-Linawakilisha uozo wa wanaume dhalimu wanaowabaka wake katika jamii.
-Linawakilisha ubabedume uliokithiri katika jamii za kiafrika na kuwahujumu wake.
-Linwakilisha mwanzo na mwisho wa ukandamizaji kwa wake wali linapouliwa mwishoni.


|