Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.
  OR
Processing. Please wait.

 Uchambuzi wa tumbo lisiloshiba: Mame Bakari (Mohammed Khelef Ghassany)

Janadume bakaji na sifa zake katika hadithi Mame Bakari

 (3m 22s)
1888 Views     SHARE

Download as pdf file

Answer Text:
Janadume bakaji katika hadithi “Mame Bakari”
-Ni jitu lisilo na utu linalovizia wasichana usiku na kuwabaka.
-Ni katili: anambamiza Sara ardhini hadi akazimia na kumwacha hivyo akiwa nusu uchi.
-Lenye tamaa na uchu: baada ya kumbaka Sara aliendelea na tabia hiyo mbaya hadi
akafumaniwa na kupigwa vibaya hadi akafa.
-Ni lenye usiri-liliweza kujificha baada ya kumbaka Sara hadi pale lilipofumaniwa baada ya kumbaka msichana tofauti.


|