Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.

Kiswahili Paper 3 Form 3 End of Term 2 Examination 2019

Class: Form 3

Subject: Kiswahili

Level: High School

Exam Category: Form 3 End Term 2 Exams

Document Type: Pdf

    

Views: 1376     Downloads: 13

Exam Summary


Kiswahili Paper 3 Form 3 End of Term 2 Examination 2019
This file contains questions and the Marking scheme in it. Below is a preview of the questions


SEHEMU YA A : FASIHI SIMULIZI
1.
a) Huku ukitoa mifano mwafaka ,eleza miundo tano ya methali. (alama 10)
b) Eleza tofauti nne kati ya methali na vitendawili. (alama 4)
c) Eleza umuhimu wa semi katika jamii. (alama 6)

SEHEMU YA B :RIWAYA:CHOZI LA HERI –Asumpta K. Matei

2. " Lakini itakuwaje historical injustice, nawe Ridhaa, hapo ulipo sicho kitovu chako?"
a) Eleza muktadha wa dondoo . (Alama 4)
b) Eleza tamathali mbili za lugho zilizotumika kwenye dondoo hili (alama 4)
c) Fafanua umuhimu wa msemaji wa maneno haya (alama 6)
d) Ni mambo gani yaliyowokumba wale ambao kitovu chao si hicho ( Alama 6)
AU
3. Maovu yametamalaki katika jamii ya Riwaya ya Chozi la Heri tetea kauli hii kwa kutolea hoja kumi. (Alama 20)

 

More Examination Papers