Get premium membership and access revision papers with marking schemes, video lessons and live classes.

Grade 4 Kiswahili Lugha End of Term 3 Exams 2022

Class: Grade 4

Subject: Kiswahili

Level: Primary School

Exam Category: Grade 4 End Term 3 Exams

Document Type: Pdf

    

Views: 819     Downloads: 15

Exam Summary


TUTORKE END TERM TRIAL EXAMINATIONS
COMPETENCY BASED CURRICULUM
GRADE 4 KISWAHILI LUGHA
TERM 3 2022

JINA…………………………………………………………….….DARASA……………………….………………………………


SEHEMU YA A (alama 15)
1. Kuskiliza na kuzungumza
Soma sentensi hizi kwa ufasaha mbele ya mwalimu wako. (alama 6)
1. Mama amenunua samaki
2. Mjomba amekuwa na tatizo la pesa.
3. Tajiri mwenye gari amedai wezi wamemvamia.
4. Tegua vitendawili: (alama 3)

Kuku wangu katagia mibani
________________________________
Nyumba yangu haina mlango
________________________________
Chakula kikuu cha mtoto
________________________________
(yai,usingizi,nanasi,moto,ugali)
5. Jibu salamu hizi (alama 3)
a. Shikamoo _______________
b. Habari _______________
c. Sabalkheri _______________
6. Unda maneno kutokana na silabi hizi:
7. da _______________
8. gu _______________
9. ha _______________ (alama 3)
SEHEMU YA B: KUSOMA (alama 10)
Hamisi alikuwa mkulima hodari. Alikuwa na shamba kubwa ambalo alipanda nafaka kama vile mahindi, mawele na mtama. Ndege ndio walikuwa tatizo kubwa kwake.Walikuwa wakija shambani kula mazao yake. Jambo hili lilimfanya akasirike na kutafuta njia ya kuwawinda wale ndege na watoto wao wanaojulikana kama kinda.
Sehemu nyingine ya shamba lake utawapata wafanyi kazi wakipalilia magugu yaliyoota. Magugu ni mabaya kwani hupigania rotuba na mimea mingine. Pia husambaza magonjwa kwa mimea iliyo na afya. Aidha mkulima hutumia jembe ama panga kupalilia.
5. maswali
a. Hamisi alikuwa nani? ____________________________(alama 1)
b. Tendo la kuondoa magugu shambani ni__________________________
(alama 1)
c. Taja nafaka mbili alizozipanda Hamisi
________________________
________________________
________________________
(alama 2)
d. Mtoto wa ndege huitwa ________________
(alama 1)

e. Taja madhara moja ya magugu kuwa shambani (alama2)
_____________________________________
f. Tatizo kubwa kwa Hamisi lilikuwa nini?
_________________________________________ (alama 1)
g. Mkulima hutumia nini kupalilia?
(ala. 2)
a. ____________________
b. ____________________


SEHEMU YA C: SARUFI (alama 15)
1. Andika wingi wa sentensi hizi (ala.4)
a. Mwanafunzi anacheka


b. Mkulima analima


c. Kijiti kimevunjika


d. Kitanda hiki ni kizuri

2. Jaza nafasi kwa kuchagua jibu sahihi(Vizuri, mwili, zikatwe, mtu, mswaki, deki) (Alama 5)

Kila ________________ anafaa kufanya usafi wa ________________. Kila asubuhi,ni _______________ kupiga _______________ meno ili kuzuia harufu mbaya. Kucha pia zinafaa __________________ ili zibaki safi kila wakati.

3. Kamilisha sentensi hizi (alama 3)
a. ______________________ huendesha gari.
b. ______________________ huwatibu wagonjwa.
c. ______________________ huendesha ndege.

4. Jaza nafasi kwa kutumia ‘u’ au ‘i’ (ala.2)
i. Mkeka _____tachomwa.
ii. Mipera _____napaliliwa.

 

More Examination Papers